Kesi ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi inayomkabili Wema Sepetu imeendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu haijakamikisha kuandaa uamuzi wa kielelezo cha kukutwa msokoto ya bangi, katika kesi hiyo.

Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amewaambia Mawakili wa Utetezi na Mawakili wa Serikali kuwa ” naomba nisema tu kwamba hatujamaliza kuandaa uamuzi huo.”

Kesi hiyo imehairishwa hadi Agosti 31, mwaka huu ili kutolewa maamuzi na tarehe 12 September na 13 septemba kesi hiyo kusikilizwa mfululizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *