Watu 36 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya Treni ya abiria kuacha reli na kupinduka katika jimbo la Adhra Pradesh nchini India.
Idadi ya vifo inaongezeka kutokana na majeruhi wengi kuumia vibaya hivyo idadi ya vifo inaendelea kuongezeka kulingana na muda unavyokwenda.
Bado haijafahamika wazi chanzo cha ajari hiyo lakini maafisa bado wanaendelea na uchunguzi.
Mr Mishra mmoja kati ya maafisa waokoaji alisema majeruhi wamepelekwa hospitali mbili zilizopo jirani na eneo la tukio.