Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema kuwa anaishi maisha yake na siyo maisha wanayotaka watu aishi hivyo waache kumfuatilia.

Vanessa ambaye kwasasa makazi yake yapo nchini Marekani aliendelea kusema kwamba, siku hizi maisha yamekuwa mafupi hivyo ukiendekeza na kusikiliza maneno ya watu utakufa mapema, ndio maana alipogundua hilo aliamua kuziba masikio na kuishi yale maisha anayoona kwake yanafaa.

“Unajua siku hizi maisha ni mafupi sana hivyo tunatakiwa kufurahia maisha na sio kukaa na vinyongo moyoni, ndio maana huwa siruhusu watu waendeshe maisha yangu kabisa, isipokuwa mimi tu.

Ameongeza kwa kusema kuwa yaani kwa ufupi napenda kuishi maisha yangu” alisema Vee. wa kolabo, ataanza na wasanii wa Afrika Mashariki.“

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *