Muigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya amefunguka na kusema kuwa licha ya picha zake za utupu kusambaa mtandaoni haijampunguzia kula bata zake.
Uwoya anasema hajali wala nini na hajibu chochote badala yake bata zinaendelea kama kawaida na haofii chochote kuhusu hilo.
Kwsasa Uwoya awamu hii ametangaza kwenda nchini Mexico kuendeleza bata lake la kufa mtu.
Uwoya anasema kuwa pamoja na yote, lakini kula ni muhimu na anaamini kwamba yeye ni wa juu.
Hata hivyo, watu wengi wamemtia moyo kwa majanga yaliyomkuta, lakini iwe somo kwa wanawake wengine.