Tamasha la Coachella mwaka huu halitakuwepo tena kutokana na athari za ugonjwa wa virusi vya Corona ambazo zinaendelea.

Jana Jumanne, Jarida hilo limesema kampuni ya Goldenvoice itapanga upya ratiba ya tukio hilo kutoka mwezi Oktoba mwaka huu ambapo ilipangwa kufanyika baada ya kuahirishwa mwezi April.

Hivyo huwenda Coachella ikafanyika April mwaka 2021, japo kampuni ya Goldenvoice inayoandaa tamasha hilo, haijaweka wazi taarifa rasmi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *