Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Katibu wa Chadema Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wameachiwa huru leo kutoka Gerezani.

 Sugu amabe alitakiwa kufumngwa kwa muda wa miezi sita , imekuwa kitu cha kushangaza yeye kuachiwa hutu leo huku bado kukiwa na maulizo mengi kuhusu kuachiwa kwake huru.

Viongozi hao wamepokelewa leo asubuhi na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho waliosafiri hadi Mbeya kwa ajili ya mapokezi hayo.

Sugu na Masonga walikutwa na hatia hiyo  Februari 26 mwaka huu katika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya ambapo walihukumiwa kifungo cha miezi mitano jela kila mmoja.

Leo asubui wakati viongozi wake wa chadema wakimsubiri Sugu kutoka gerezani, waliambiwa kuwa sugu tayari ameshatoka gerezani na walipopiga simu nyumbani waliambiwa mtu huyo ameshafika nyumbani  muda mrefu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *