Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya askari 14 wa Jeshi la JWTZ kuuawa walipokuwa katika operesheni ya kulinda amani nchini DRC.