Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rosa Ree ameamua kuingia kwenye ngia biashara baada ya kufungua mini supermarket yake mpya aliyoipa jina la Rosa Ree Mini Supermarket.

Rosa Ree amesema kuwa ameamua kufungua Supermarketi kutokana  na mafanikio aliyoyapata kwenye muziki wake toka aanze rasmi.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa supermarket hiyo imemgharimu zaidi ya milioni 30 baada ya kukamilika kwa biashara hiyo.

Rose Ree amesema kuwa anategemea kuifungua rasmi Supermarket hiyo wiki ijayo na sasa yupo kwenye maandalizi ya mwisho.

Pia Rose Ree amesema kuwa baada ya kufunga Mini Supermarket anategemea kufungua nyingine kubwa Zaidi yah ii siku za usoni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *