Muigizaji wa Bongo Movie, Rose Ndauka amezindua movie yake mpya inayokwenda kwa jina la Kione ambayo sasa imeingia sokoni rasmi.

Rose Ndauka amezindua movie yake mpya ya #Kione. Staa huyo wa Bongo movie ameelza sababu ya kuachia movie hiyo na ina maudhui gani.

Mbali na hilo ametolea ufafanuzi kuhusu zile taarifa kuwa ameachana na mume wake kwani siku kadhaa nyuma aliandika kuwa amechoka kupigwa na kuonewa kwenye ndoa,

Rose Ndauka amewataka mashabiki wake kuipokea movie hiyo kwani imejikita Zaidi kuishauri jamii kuhusu mambo mbali mbali katika jamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *