Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka WCB, Rayvanny amekuwa msanii pekee kutoka East Afrika kushirikishwa kwenye album ya Staa Zlatan kutoka nchini Nigeria.
Rayvanny ndio msanii pekee kutoka Africa Mashariki aliepata nafasi ya kushirikishwa kwenye album hiyo ‘RESAN’ kwenye track no. 11 akiwa na Sho Madjozi.
Baadhi ya wasanii wengine walioshirikishwa kwenye Album hiyo ni Davido, Phyno, na Ms Banks ambao wamepata furasa ya kuimba kwenye albam hiyo.
“RESAN” ni neno la ki Swedish lenye maana “Safari” kwa Kiswahili hivyo wasanii hao wameonyesha ubora kwenye albam hiyo.