Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini.
Kabla ya uteuzi huo Biteko alikuwa Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite.
Baada ya uteuzi huo, Doto Biteko anatarajiwa kuapishwa jumatatu ijayo saa tatu Ikulu jijini Dar es Salaam.