Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania.

Luteni Jenerali Venance S Mabeyo anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jenerali Davis Mwamunjyange ambaye amestaafu kisheria.

Kabla ya uteuzi huo Luteni jenerali Venance S. Mabeyo alikuwa Mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchini (JWTZ)

Uteuzi huo umeanza mara moja na tarehe ya kuapishwa itatangazwa baadae.mkuu-wa-majeshi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *