Kwa mara ya kwanza mtoto wa Kajala, Paula ametumia mtandao wake wa Instagram kuwapongeza Kajala na Harmonize huku akimuita Harmonize Baba.

Paula amepost video hiyo kipitia Instastory yake kna kuandika “Baba unajua mpaka unajua tena”.

Paula hakuishia hapo, ujumbe wa pilia ameandika “Utaweza kukomoana na Jeshi wewe?”.

Hii ni mara ya kwanza Paula anajitokeza kum-support Harmonize toka msala wa video kutokea.

Hata pale ambapo mama yake alianika kuweka mambo sawa na Harmonize mpaka kupelekea pete Paula hakuonesha kuwa upande wa mama yake na kupelekea watu kuhisi kuwa bado anakinyongo na baba yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *