Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Sekondari, Kidato cha Nne kwa  mwaka 2016, mtihani ambao ulifanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.44 ukilinganishwa na ule wa mwaka jana.

Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam zimeonekana kung’ara zaidi kwa kushika nafasi za juu wakati huo huo  shule 6 za Dar es Salaam zikishika nafasi 10 za mwisho katika matokeo hayo.

Shule zilizoingia 10 bora Kitaifa

  1. Feza Boys Sec School – Dar es Salaam
  2. St. Francis Girls Sec School -Mbeya
  3. Kaizirege Junior Sec School – Kagera
  4. Marian Gilrs Sec School – Pwani
  5. Marian Boys Sec School- Pwani
  6. St. Aloysius Girls Sec School – Pwani
  7. Shamsiye Boys Sec School – Dar es Salaam
  8. Anuarite Girls Sec School- Kilimanjaro
  9. Kifungilo Girls Sec School- Tanga
  10. Thomas More Machrina Sec School – Dar es Salaam

Shule za Dar es Salaam zilizoshika nafasi 10 za mwisho

Kitonga Sec School

Nyeburu Sec School

Mbopo Sec School

Mbondole Sec School

Somangila Day Sec School

Kidete Sec School

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *