Mume wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shilole aitwae Rommy 3d amefunguka na kusema kuwa dili nyingi za kibiashara anazozipata zinatokana na umaarufu wa mke wake huyo.

Lakini Pia Ameeleza Changamoto Ambazo Anakutana Nazo Kisa Tu Kuwa Mume Wa Msanii Huyo kama vile kudhaliwa na baadhi ya mashabiki wake.

Rommy 3d amesema kuwa “Kiukweli Nimepata Dili Nyingi Sana Kupitia Mgongo Wa Shishi Hazihesabiki Kwahiyo Kwahapo Namshukuru Mungu Kwa Hilo.

Pua ameongeza kusema kuwa Kitu Kilichotokea Ni Kwamba Mimi Tofauti Na Kupiga Picha Wakati Mwingine Nashoot Movies na Series.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *