Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mimi Mars amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki mwenzake Marioo.

Mimi Mars amekanusha kutoka kimapenzi na mwanamuziki huyo licha ya taarifa za wawili hao kuwa karibu sana.

Mimi Mars amekazia kuwa mpenzi wake sio Marioo na haiwezi ikaja kutokea akawa Marioo haiwezi tokea hiyo.

Mbali na hilo amezungumzia Tattoo zake ambazo amesema zipo nyingi na ni kitu anachopenda ila kwa imani ya dini yake hairuhusu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *