Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayekuja kasi kwasasa, Mimi Mars amekanusha kutoka kimapnzi na mkali wa hip hop Bongo Joh Makini.
Mimi Mars ambaye pia ni mdogo wa msanii Vanessa Mdee amefunguka hayo baada ya kuwepo kwa tuhuma za wawili hao kuwa katika mahusiano ya kimapenzi.
Mimi Mars amesema yeye na Joh Makini ni sawa na mtu na kaka yake, kwani Joh Makini alikuwa rafiki kipenzi wa kaka yake.
Mimi Mars amesema kwa sasa hayupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote akikusuia kufocus kwenye kazi zake zaidi.