Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mbosso ameweka wazi kuwa asilimia 100 ya video ya ngoma yake ya moyo tayari imekamilika na ametumia Tsh Elfu 30 tu.
Mbosso amesema kuwa video hiyo imetumia kiasi kidogo cha pesa umunifu uliofanywa na video director wa video hiyo.
“Moyo video loading, nime-shoot kwa shilingi Elfu Thelathini ya Tanzania”. ameandika Mbosso
Ikumbukwe kuwa msanii Rayvanny alizua gumzo baada ya kutoa taarifa kwamba video yake mpya ya ‘Te Quiero’ amemgharimu kiasi cha Tsh Milioni 130.