Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Maua Sama ameishiwa maneno kwa mapokezi ya EP yake mpya Cinema ikiwa ni siku chache tangu aichie rasmi EP hiyo Mei 20 2022.
Maua Sama alionesha kuishiwa na maneno baada ya Cinema kukwea nafasi ya juu kabisa kwenye orodha ya Project zilizopokelewa vizuri kwenye mtandao wa Audiomack nchini Tanzania.
Mwanamuziki huyo amesema kuwa mashabiki wake wanaendelea kumsapoti kwenye tasnia yake ya muziki baada ya kutoka na EP yake hiyo mpya.
Kupiti akaunti yake ya Instagram ameandika
Asanteni sana kwa mapokezi ya CINEMA, bado mnanidai. Alikiba na Juma Jux ambao wote wapo kwenye EP yake mpya hiyo ya Cinema.