Muigizaji wa Bongo Movie, Kajala Masanja amempongeza mpenzi wake Harmonize ikiwa leo Machi 15 ni siku yake ya kuzaliwa kwa mwanamuziki huyo.

 

Katika kusheherekea siku hii muhimu kwa staa huyo, mpenzi wake Kajalaia ametumia ukurasa wake wa Instagram kumuandika ujumbe huu “You are my rock, and you’re always rocking, Boy! Let’s go party for your birthday!. Happy birthday life partner nakupenda kinoumaaa.

 

Wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa baada ya Harmonize kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Sara raia wa Italia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *