Mwanamuziki wa Singeli, Dulla Makabila amepata ajali wakati wakielekea mkoani Tabora kwa ajili ya show yake mkoani humo hapo jana.

Dulla Makabilia ameapata ajali hiyo Pamoja Na Crew Yake Wamepata Ajali Ya Gari Wakiwa Wanaelekea Tabora Kwa Ajili Ya Kazi Ikielezwa Kuwa Gari Limepinduka Zaidi Ya Mara Nne Lakini Wametoka Salama.

Kwa Mujibu Wa Mtu Wa Karibu Wa Msanii Huyo Ameeleza Kuwa Makabila  Amepata Majeraha Kidogo Lakini DJ Wake Bado Yupo Hospitali Mpaka Sasa Akiendelea Na Matibabu.

Mwanamuziki huyo ametoa taarifa hiyo kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amepata ajali hiyo akiwa na kundi lake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *