Mwanamuziki wa Hip hop Bongo, Maarifa Bigthinker ameshaaacha maelekezo kwamba akifariki akazikwe Kibaha sehemu ambayo anawakilisha na ataacha nauli.

“Niliapa nitafia booth ili baba yangu apate mboga, nawaelewa mtanipata vizuri mkinilewa mtajielewa hamtoipata shughuli niliapa mtoto wa kitaa sitopata sifuri nikifa nikazikwe Kibaha nitaacha nauli”.

Maarifa amechana hivyo kwenye ngoma ya maelekezo chapter 2 aliyoshirikishwa na rapa Moni Centrozone pamoja na Rapcha.

Mwanamuziki huyo kwasasa anafanya vizuri kwenye muziki wa Hip Hop kutokana na ubora wa kazi zake kwenye muziki wa hip hop.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *