Mwanamuziki wa hip hop Bongo, Maarifa ameachia Wimbo Mpya Birthday, wimbo Ambao Mistari yake wengi wamehisi kuwa ndani yake kuna Marapa Amewachana.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Maarifa Alishare Wimbo huo Mpya na kuandika. “kama kuna rapper anaamini anaweza kupima anaruhusiwa kujitokeza nipo hapa namsubiri.

Wimbo huo unaonekana utafanya vizuri kutokana na ubora wa wimbo huo kwa mashabiki ambapo Maarifa amekuwa akiwagusa mashabiki wake.

Mwanamuziki huyo ambaye yupo chini ya lebo ya MMB ambayo ipo chini ya Madee ameachia wimbo huo na kuwagusa mashabiki wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *