Mwanamuzki wa Bongo Fleva, Lulu Diva amefunguka na kusema kuwa hawezi kusahau siku aliyoachwa na mwanaume kwa sababu alilia sana.

Lulu Diva anasema kuwa, kwa sasa hayupo kwenye uhusiano wowote wa kimapenzi na hataki kuingia kwenye mapenzi kwa sababu tu yupo singo, bali anatafuta mtu sahihi.

Anasema kuwa, anafanya hivyo kwa sababu tayari yupo singo na katika uhusiano wake uliopita aliachwa na kujikuta akilia sana.

“Kuwa na uhusiano ni uamuzi wa mtu binafsi, lakini kuna vitu vingi kwenye uhusiano, mimi nikipenda nalia na nikiachwa nalia sana,” anasema Lulu Diva.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *