Muigizaji wa Bongo Movie, Kajala Masanja amefunguka na kusema kuwa yupo tayari kubadili hata kabila sio dini jinsi anavyompenda mpenzi wake mwanamuziki, Harmonize.

Kajala kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameandika kwa kumtaji mmoja ya watu wake wa karibu na kusema “Mimi Mmakonde ujue”.

Baada ya maandiko hayo yalifuatiwa na ujumbe uliosomeka kuwa “Sio dini tu hata Kabila ntabadili kwa jinsi ninavyompenda”.

Wawili hao siku ya Jumapili walikuwa Pamoja Lindi walipokwena kutoa shoo kwenye uzinduzi wa uwanja wa mpira wa Majaliwa mkoani humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *