Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Jux amesema kuwa mwaka ujao 2022 anaweza kuachia Album mpya kwasababu anaamini kwa mashabiki jukumu lake ni kuwapa muziki mzuri.
Jux amesema kuwa anataka kuachia albam hiyo kwa ajili ya kuwaburudisha mashabiki wake kwani wana hamu kubwa ya kusubili albam yake mpya.
Mwanamuziki huo amesema kuwa ameamua kuachia albam mpya kwani ana muda mrefu hajaachia albam mpya kwasasa.
Pia Jux amesema kuwa amerekodi nyimbo nyingi kwa hiyo ameamua kucheza kuwapelekea mashabiki wake albam yake hiyo mpya.