Jeshi la Polisi Tanzania limetolea ufafanuzi kuhusu matumizi ya PF 3 yaliyopigwa marufuku na waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba.
Jeshi hilO limetolea ufafafanuzi masuala hayo baada ya masaa kadhaa waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba kusema wagonjwa wenye majeraha watibiwe bila PF 3.