Kitu muhimu sana unachopaswa kufahamu kuhusu washindi wa ISHI KISTAA, ‘HAWASAHAU TAREHE ZA USHINDI WAO’.
Mastaa wa IshiKistaa wanafahamu kuwa hii ni ndoto yao ya muda mrefu hivyo huweka sawa kumbukumbu za kila tukio, BIG UP!!
Tazama hilo kwa Skola.
Skola ni msichana ambaye ilia toke kwao na kuja kuishi kistaa ni lazima aombe ruhusa kwao. Je, ISHI KISTAA ina lifahamu hilo? Ndio, ISHIKISTAA inatambua hilo na inashirikiana na washindi wake ili kuhakikisha usalama wao na ufahamu wa walezi wao juu ya ushindi wao.
Kutoka Songea, Skola ambaye ni mzaliwa wa Kilimanjaro anakuja kuipata zawadi yake ya ISHI KISTAA, na staa wake ni Yusuph Mlela.
Ni kama ‘washkaji wa kitaaaambo’ ni raha, ni shopping,, ni bata ni stori za KISTAA tu.
Skola ni mmoja wa MASTAA ambao hawawezi kuficha hisia zao ‘NIMEFURAHI, from shopping to lunch’.
Uliza maswali unayotaka kujua kutoka kazi za wasanii, challenge wanazokutana nazo na mengine kibao na utajibiwa kwakuwa mastaa ‘HAWAFICHI KITU’.
Ishi Kista apia inasisitiza wazazi na walezi kuwa makini na taarifa za ushindi za watu wanaowalea ili wasije kupatwa na madhara.
Kujishindia nafasi ya kuwa STAA wa ISHI KISTAA tuma neno STAA kwenda 15670 SASA!!