Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amesema kuwa hayupo kwenye mahusiano na mwanamke yoyote kwasasa baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Kajala.
Harmonize amefunguka kupitia Instastory yake kuwa kwa sasa yupo Single na wasichana mnaowaona wako nao karibu hakuna hata mmoja aliouteka moyo wake.
Harmonize amefungu hayo ikiwa ni siku moja toka video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akiwa na mrimbwende wakishuka kwenye gari.
Mwanamuziki huyo kwasasa yupo single baada ya kauchana na aliyekuwa mpenzi wake Kajala Masanja na sasa hayupo kwenye mahusiano na mtu yoyote.