Muizaja wa Bongo Movie, Faiza Ally amejikuta akiingia katika wakati mgumu baada ya kunasa mimba nyingine ya tatu huku mtoto wake wa kiume wa pili akiwa bado na umri wa miezi nane tu.

Faiza alikuwa anajipa moyo kuwa hawezi kupata mimba kwa sababu alikuwa akitumia vidonge vya kuzuia mimba.

Faiza  hakujua kama angeweza kubeba mimba kwa sababu alikuwa anatumia njia ya kuzuia mimba lakini kwa bahati mbaya laipata mimba huku akiendelea kunywwa dawa hizo ambazo zilikwedna na kuharibu mimba hivyo kuanza kuumwa bila kujua anaumwa nini.

Baada ya hapo alikwenda hospitali ambapo alikwenda na kugundua tatizo kuwa alikuwa na mimba iliyoharibka  kutokana na kutumia vidonge hivyo,alipofika hospitali waligundua tatizo hilo huku wakiona kuwa mimba ilikuwa imeharibika hivyo kuamua kumsafisha ili kumuweka sawa.

Faiza Ally alipoulizwa kama angekuwa tayari kuzaa kama mimba hiyo isingeharibika huku wakikariri amneno yake ya mwanzo kuwa watoto wawili wanatosha alijibu kuwa kwa sababu mimba iliingia kwa bahati mbaya hasingeweza kuitoa hata kidogo kwa sababu hawezi kufanya hivyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *