Dj na Mtangazaji Maarufu kutoka kituo cha Redio cha Capital FM , Alex Nderi (DJ LITHIUM) Amefariki kwa kujiuwa yeye mwenyewe.

Ripoti kutoka vyombo kadhaa vya habari kutoka Kenya vimeripoti Alex alijiuwa kwa kunywa sumu katika ofisi za kituo hicho jijini Nairobi.

Inasemekana Wafanyakazi wenzake walimkuta akiwa amepoteza fahamu dakika chache baada ya kunywa Sumu hiyo Na wakafanya jitihada za kumuwaisha hospital.

Kabla ya umauti kumkuta Nderi inasemekana alifuta peji zake katika mitandao ya kijamii Na pia akiacha barua ambayo wafanyakazi wenzake Wamefichuwa kuwa itafunguliwa na jamaa zake pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *