Aliyekuwa mtangazaji wa Clouds fm, Diva ameibuka na kufunguka sababu ya kuingia kwenye tofauti na staa wa muziki Harmonize.
Diva meweka wazi kiini cha utofauti wao baada ya Wakili wa Harmonize kuliweka jina lake kwenye orodha ya watu waliosambaza picha za utupu zinazosemekana kuwa ni za Harmonize
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Diva ameandika “Tatizo Langu Bwana Na Harmo Lilianzia Hapa, Nilipoamua kumpost na kumsifia Diamond. Yan with no bias im doin ma job n won’t stop
sina video wala Picha Nimesambaza mi ni mwanahabari so nafanya ku report Habari inshort siogopiiiiiiiiii tutakutana mahakamani. Brand yake bwana anaharibu mwenyewe.
Wanasema hii dunia utavuna ulichopanda
Hela Yangu Ya Wanasheria italipwa na watu wangu wa insta inshort kazi inaendelea .. sijatusi mtu neither nor dhalilisha mtu in anyway.
Pia amesema kuwa kajidhalilisha mwenyewe na maisha yake kwanza basata na Tcra tunaomba huyo mtu mumuite kwa maelezo zaidi imekuwaje yeye na waliosambaza hizo video sisi wengine ni wana habari tuko kazini. Msijali Management Yangu Imejipanga Vizuri tu with any legal Process as always.