Jarida la Forbes Africa limetoa Top 20 ya Wasanii Bora kutoka Afrika huku Diamond Platnumz na Rayvanny Wakiwa ndio Wasanii pekee wanaoiwakilisha Afrika Mashariki kwenye Orodha hiyo.

Kwa Mujibu wa Forbes Africa inasema Orodha hiyo imeandaliwa kwa kukusanya Kazi zote za Wasanii hao na Mafanikio yako katika Digital Platforms zote.

Zifutazo ni platform ambazo Diamond Platnumz amekuwa akifanya vizuri katika kazi zake

Spotify Monthly Listeners: 845K
YouTube Total Average
Views: 1.8 Billion
SOCIAL MEDIA NETWORTH
Instagram: 14.9 Million
Twitter: 1.2 Million
Facebook: 6.8 Million
TikTok: 1.4 Million

Zifuatazo ni takwimu za Rayvanny kwenye platform tofauti za kuuzia muziki ambapo amekuwa akifanya vizuri kutokana na ubora wa kazi zake

Spotify Monthly Listeners: 481K
YouTube Total Average Views: 772 Million
SOCIAL MEDIA NETWORTH
Instagram: 8.1 Million
Twitter: 138.1K
Facebook: 2.2 Million
TikTok: 381.2K

List hiyo imesheheni Mastaa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria na Afrika kusini kama Wzikid, Burna Boy, Davido, Tiwa Savage Yvonne Chaka Chaka, DJ Maphorisa, Cassper Nyovest na Black Coffee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *