Muigizaji wa Bongo Movie, Chuchu Hans amesema kuwa licha ya kuzaa na Ray lakini afikirii kuolewa naye.
Muigizaji huyo amesema hayuko tayari kuolewa na msanii huyo kutokana na uhusiano wao kukumbwa na kashfa kibao kabla ya hata na ndoa yenyewe.
Chuchu Hans amesema ingawa ameshazaa na Ray, lakini hafikirii kuolewa naye, na hata kama atamchumbia atalazimika kukataa uchumba huo.
Wawili hao wamefanikiwa kupata mtoto mmoja ambaye alizaliwa mapemwa mwaka huu baada ya kuwa katika uhusiano kwa muda wa miaka kadhaa.