Alichoandika Nedy Music kuhusu wanawake
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nedy Music amesema kuwa yeye ni mwanaume mpole aliyebakia duniani ila anaogopa sana chozi la mwanamke kwa sababu anajua ni kitu kibaya kwa mwanaume. Nedy Music…
Card B aweka rekodi Billboard
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Cardi B amekamata rekodi nyingine tena kwenye chati za Billboard Hot 100 ambapo wimbo wake wa ‘I Like It’ aliowashirikisha Bad Bunny na J Balvin umeweza kukaa kwenye chati hizo kwa miezi kumi .…
Enock Bella alia na menejimenti mbovu
Mwanamuziki wa Bongo Fleva aliyekuwa memba wa Yamoto Band, Enock Bella amesema kuwa sababu inayofanya nyimbo zake kutofika mbali ni kukosa menejimenti ya uhakika ya kusimamia kazi zake. Bella amesema…
Waandamana kupinga mauaji ya mtanzania nchini Afrika Kusini
Wanachama wa Shirika la Africa Diaspora Forum wamefanya mandamano nchini Afrika Kusini kushinikiza serikali ya nchi hiyo na serikali ya Tanzania kubaini ukweli kuhusu kuuawa kwa mwanafunzi raia wa Tanzania.…
Manchester wakaribia kukamilisha usaji wa beki kutoka Bilbao
Klabu ya Manchester City inakaribia kumsajili beki wa Athletic Bilbao inayoshiriki ligi kuu ya nchini Hispania La Liga, Aymeric Laporte kwa dau la paundi milioni 57. Meneja wa Man City,…
Sugu apelekwa gerezani baada ya kukosa dhamana
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya baada ya kukosa dhamana katika kesi ya uchochezi inayomkabili. Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya…
Makamu wa Rais amewataka polisi wanawake kupambana na vitendo vya kiuhalifu
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka polisi wanawake kupambana na vitendo vya kiuhalifu ikiwemo uchochezi, wizi wa mitandao, ujangili ugaidi na utakatishaji wa fedha haramu. Hayo ameyasema jana Novemba…
Tetesi za usajili barani Ulaya, Chelsea kumalizana na Bakayoko
Klabu ya Chelsea wanakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa Monaco Tiemoue Bakayoko, 22, na huenda akasaini mkataba wake kabla ya Jumatatu na kusafiri na timu kwenda Singapore na China (Sky…
Tanesco yakanusha kuuzwa mitambo ya umeme ya Kinyerezi
Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) limekanusha taarifa za kuuzwa kwa mitambo ya Umeme ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam.
Alichoongea Bashe kuhusu uchimbaji madini
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amesema Serikali isipoifutia leseni ya uchimbaji madini Kampuni ya Mwabangu, ataungana na wananchi na kuwaruhusu wang’oe mabati katika Chuo cha Madini wagawane. Akichangia bajeti…
Rais Magufuli afunguka kilichomshinda wakati akiwa mwenyekiti wa EAC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema katika kipindi cha mwaka mmoja alichoiongoza Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ameshindwa kutatua changamoto aliyoikuta ya wanachama kushindwa…
Wamiliki wa ng’ombe kunufaika na mikopo Kenya
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametia saini muswada inayowaruhusu wakopeshaji kutumia vifaa vya nyumbani mimea na mifugo ili kujipatia mikopo. Sheria hiyo kwa jina Movable Property Security Acto 2017 inatotoa…
Rambo aishtaki kampuni ya filamu ya ‘Warner Bros’
Muigizaji mkongwe wa Hollywood, Sylvester Stallone (Rambo) ameishitaki kampuni ya filamu ya Warner Bros kwa kukosa kumpa kiwango cha pesa walichokubaliana kama faida, kutokana na filamu ya mwaka 1993 ya…
Odemwingie ajiunga na Madura United ya Indonesia
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, Peter Odemwingie amefungua milango ya maisha mapya ya soka nchini Indonesia kwa kujiunga na timu ya Madura United. Odemwingie…
New video: Young Killer – Sinaga Swagger Remix
Young Killer ameachia video mpya ya wimbo wake wa “Sinaga Swagger” Remix
Jeshi la Polisi Arusha limekamata silaha haramu
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limekamata silaha aina ya bunduki zikiwemo za kivita SMG sita ambazo zilikuwa zinamilikiwa kinyume na sheria katika wilya ya Ngorongoro mkoani humo. Silaha hizo zimekamatwa…
‘Mfungwa’ Amadou Sanneh aukwaa uwaziri wa fedha Gambia
Rais Adama Barrow, amemchagua ‘mfungwa’ Amadou Sanneh kuwa waziri wa fedha wa nchi hiyo. Sanneh ambaye alifungwa wakati wa utawala wa Yahya Jammeh ameachiwa huru na rais Barrow kisha kukabidhiwa…
SMZ kujenga hospitali mpya Binguni
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hospitali mpya ya kisasa itajengwa Binguni Wilaya ya Kati Unguja ikiwa na hadhi ya Hospitali ya Rufaa yenye uwezo wa kutoa huduma zote za…
Fomu za ‘EATV Awards’ zaanza kutolewa
Kampuni ya EATV leo imeanza kutoa fomu kwa wasanii kwa ajili ya kushiriki katika tuzo za 'EATV Awards' zilizozinduliwa mapema mwezi Agosti mwaka huu ambapo zitakuwa zinashirikisha wasanii kutokaka ukanda…
Watu wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya gari la msafara wa Makamu wa Rais, Samia Suluhu
Watu wanne wajeruhiwa baada ya gari moja lililokuwa kwenye msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kutoka Mtwara kwenda wilayani Tandahimba kuanguka maeneo ya…
Reporting BIFF….. BIFF……… BIFF ……….. what next?
Imekuwa ni kawaida ya vyombo vingi vya habari duniani hususani vyombo vinavyoripoti masuala ya burudani kujikita katika kutafuta namna ya kuwapa umaarufu wasanii au kujitengenezea umaarufu vyenyewe kupitia wasanii. Ni kama mchezo…
USHAMBA au STRATEGY?
Ingawa ni vigumu sana kuamini kuwa hii ni mojawapo wa nyenzo za kuutangaza muziki au biashara inayoshabihiana na muziki duniani lakini hali hii imeendela kuwepo karibu kila siku na kila mahali. Wasanii…
DOES IT HURT WHEN YOUR COMPETITOR GETS HURT?
Wiki mbili zilizopita moja ya habari kubwa ilikuwa ikisumbua kwenye industry ya burudani ilikuwa ni video pamoja na maandishi ya majibizano yaliyoashiria ugomvi mkubwa baina ya mastaa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee a.k.a…
Test
This is a Short YOURLS test