Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu kwenye Jukwaa la Jipoze Concert lililofanyika…