Rais Magufuli aongoza kikao cha kamati kuu ya CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Kikao hicho cha Kamati Kuu kinachofanyika leo kitafuatiwa na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Kikao hicho cha Kamati Kuu kinachofanyika leo kitafuatiwa na…
Mahakama ya Juu nchini Kenya imeidhinisha ushindi wa Rais Kenyatta na kutupilia mbali kesi mbili zilizofunguliwa kupinga matokeo ya uchaguzi wa awamu ya pili. Jaji Mkuu David Maraga amesema majaji…
Aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amejiunga rasmi na Chama cha Chadema baada ya kukabidhiwa kadi ya chama hicho jana. Kadi hiyo ya Chadema amekabidhiwa jana na mwenyekiti wa…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipokea meli ya jeshi la majini kutoka China ambayo imewasili nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya bure kwa wagonjwa kuanzia…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mwenendo wa ukuaji wa uchumi wa Taifa unaridhisha, ambapo katika robo ya kwanza ya mwaka 2017 ulikua kwa asilimia 5.7.…
Watu watano wamefariki dunia kutokana na maandamano yaliyotokea katika mji mkuu wa Nairobi wakati wafuasi wa kiongozi wa upinzani Raila Odinga wakikusanyika uwanja wa ndege kwa ajili ya mapokezi ya…
Wafuasi wa Nasa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyetta (JKIA) baadhi wamemudu kufika ili kumpokea kiongozi wao Raila Odinga akitokea katika ziara ya siku 10 nje ya…
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amekataa kuandoka madarakana mara moja licha ya kuwepo kwa wito wa kumtaka ajiuzulu nafasi hiyo. Mugabe mwenye umri wa miaka 93 aliwekwa chini ya kuzuizi…
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Patrick Chokala amefunga jinsi walivyomsafirisha kijasusi Dk Shika (bilionea wa nyumba za Lugumi) kurudi Tanzania. Balozi Chokala aliyekuwa Urusi kati ya mwaka 2002 na…
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi CCM baada ya kujivua uanachama wa ACT-Wazalendo. Katika taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa chama…
Raia wa Zimbabwe wanaoishi uhamishoni London walikusanyika nje ya ubalozi wa taifa hilo nchini Uingereza, kusherehekea kinachoonekana kuwa kusambaratika wka utawala wa Mugabe. Wengi ni wanachama wa shirika ambalo limekuwa…
Watu 17 wameokolewa baada ya meli ya MV Julius kuzama ziwa Victoria jana usiku ikiwa na watu pamoja na mizigo, kilomita chache kutoka kisiwa cha Goziba Wilayani Muleba Mkoani Kagera.…
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe cha Movement for Democratic Change (MDC), Morgan Tsvangirai amerejea nchini humo akitokea Afrika Kusini. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa chama hicho imesema kiongozi…
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) ambaye ni Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameitisha mkutano kwa ajili ya kujadili hali siasa nchini Zimbabwe. Mkutano huo umepangwa…
Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa ametupa maneno yanayodaiwa kuwa ni 'kijembe' kwa wale wanaohama chama cha upinzani na kuwaambia kwamba upinzani ni kwa wanaume na si wavulana. Msigwa ameweka…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa aliyekuwa mwanachama wao, Lawrence Masha hakuwa na msaada wowote ndani ya chama hicho. Amesema kuwa kuondoka kwa Masha…
Watu wote 11 wamefariki dunia baada ya ndege ya shiriki la ndege la Coastal Aviation kuanguka jana mkoani Arusha. Coastal wameeleza kuwa, ndege yao Cessna Caravan ilipata ajali majira ya…
Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesitisha utoaji wa huduma za usafiri kwa kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro Express Limited baada ya kushindwa kulipa kodi ya Sh500 milioni. Mkurugenzi wa Huduma…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameagiza kuvunjwa sehemu ya jengo la TANESCO na jengo la Wizara ya Maji yaliyopo katika eneo la hifadhi ya…
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameomba kuombewa yeye pamoja na familia yake kwa kudai kwamba amekuwa akipokea vitisho visivyo na idadi baada ya kuondoka ndani ya Chama Cha…
Mbunge wa upinzani nchini Zimbabwe Eddie Cross amesema kuwa anaamini mke wa Rais Mugabe, Grace, ametorokea Namibia. Mwanasiasa huyo wa chama cha Movement for Democratic Change (MDC) amesema anafahamu kwamba…
Aliyekuwa Mhasibu mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey John Gugai amejisalimisha katika taasisi hiyo. Ayo yamethibitishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Kamishna Valentino Mlowola ambapo…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema iwapo Sheria Namba Tano ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992 itawasilishwa bungeni wa ajili ya kupitishwa watakuwa tayari kufa kuliko kukubali ipitishwe. Akizungumza…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Kilimo ifanye utafiti wa kina ili kupata aina bora ya mbegu za pamba zitakazowanufaisha wakulima. Ameyasema hayo…
Aliyekuwa Makamo wa rais Zimbabwe Emerson Mnangagwa atangazwa kuwa Rais mpya wa chama cha ZANU-FP. Mapema leo ametua uwanja wa ndege wa jeshi wa ManyameAkaunti ya chama cha Zanu PF…
Jeshi la Zimbabwe lilisoma taarifa kwenye kituo cha runinga cha serikali ZBC, likisema kuwa linachukua hatua ya kuwalenga wahalifu. Hata hivyo limesema kuwa hayo sio mapinduzi ya kijeshi na Rais…
Aliyekuwa mume wa muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya, Hamad Ndikumana amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Chanzo cha kifo chake kinasemekana ni matatizo ya moyo ambapo jana alikuwa akiendelea…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema Serikali kupitia Wizara yake inakusudia kuandaa mkakati maalum wa kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania nchini China ili kuongeza idadi ya…
Mahakama kuu nchini Kenya leo imeanza kusikiliza kesi iwapo ushindi wa rais Uhuru Kenyatta ni halali au batili. Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Kenya na tume…
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuwakamata baadhi ya maafisa ardhi na baadhi ya wanasheria ambao wamehusika katika uuzaji…