Polepole akataa Wema Sepetu kurudi CCM
Baada ya Muigizaji Wema Sepetu kutangaza kurudi ndani ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kukihama Februari mwaka huu, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole amesema kuwa chama hicho…
Baada ya Muigizaji Wema Sepetu kutangaza kurudi ndani ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kukihama Februari mwaka huu, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole amesema kuwa chama hicho…
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari usiku wa kuamkia leo alivamiwa nyumbani kwake maeneo ya USA River na watu wasiojulikana wakiwa na silaha.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeziahirisha kesi za utakatishaji fedha inayowakabili Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na ile inayomkabili aliyekuwa Rais (TFF), Jamal Malinzi. Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Vitalis Peter…
Mwanasheria maarufu nchini, Albert Msando amefunguka kuhusu video yake akiwa na mwanamuziki Gigy Money iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii mwezi Mei mwaka huu. Video hiyo ilimuonyesha Msando na Gigy Money…
Nchi ya Marekani imeyataka mataifa yote kukatiza uhusiano wa kidiplomasia na wa kibiashara na Korea Kaskazini baada ya taifa hilo kufanya jaribio la kombora lake la masafa marefu. Mjumbe wa…
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameingilia kati suala ambalo sasa limeigusa dunia nzima kwa kitendo cha raia wa Libya kuwauza kama watumwa wahamiaji wanaoingia nchini humo. Kwenye ukurasa wake wa…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Suleiman Jaffo amesema kuwa bila kusimamiwa kwa maadili katika jamii taifa litashindwa kusonga mbele katika juhudi za kujenga jamii inayochukia rushwa. Ameyasema hayo…
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amekanusha taarifa kuwa, anakusudia kuandika barua ya kumuomba radhi Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. John Magufuli kwa kushindwa katika uchaguzi Kata…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simo Sirro kuwakamata Bw. Bahman wa Kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni wa Wallmark Bw. Samwel…
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Steven Kebwe amepata ajali katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo wilayani Kilosa mkoani hapa. Ajali hiyo imedaiwa kutokea saa saba usiku wa kuamkia…
Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kulifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu ambalo linaweza kufika eneo lolote la Marekani. Runinga ya kitaifa nchini humo imesema kuwa Pyongyang sasa imefanikiwa kuafikia…
Mama mzazi wa Wema Sepetu ameenda jijini Nairobi nchini Kenya kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye anapata matibabu baada ya kushambuliwa na risasi. Mama Wema ameenda Nairobi…
Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Ally Hapi ameahidi kumng’oa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Hapi amesema hakuna haja ya kuacha jimbo hilo la Kawe na…
Kiongozi wa Upinzani Kenya NASA, Raila Odinga amesema anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo Desemba 12, mwaka huu ambayo itakuwa siku ya uhuru wa Kenya. Odinga ametoa kauli hiyo ikiwa katika…
Mkoa wa Mwanza umezindua mwongozo wa uwekezaji ukiweka mikakati ya kuupiku Dar es Salaam katika uchangiaji wa pato la Taifa. Mwongozo huo umeandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya…
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linahamisha mali zake kwenye jengo linalopaswa kubomolewa eneo la Ubungo lililo ndani ya hifadhi ya barabara. Pilikapilika za wafanyakazi wa shirika hilo kuhamisha mali zinaendelea…
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete amesema kuwa alipata mwaliko kuhudhuria sherehe za kuapishwa Kenyatta lakini ameshindwa kutokana na kuingiliana kwa majukumu. Leo baadhi ya mitandao ya…
Rais Kenyatta wa Kenya leo ameapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo kwa awamu ya pili baada ya kushinda uchaguzi ulipita. Kiapo hicho kimefanyika kituo cha Kimataifa cha Michezo Moi, Kasarani…
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amefanya ziara katika bandari ya Dar es salaam ili kufanya ukaguzi wa magari 31 ya Jeshi hilo ambayo Rais John Pombe…
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amekiri kuwepo na vitendo ambavyo siyo sahihi ambavyo vilivyojitokeza katika Uchaguzi wa marudio katika baadhi ya kata na kutaka hatua za kisheria zichukuliwe. Nape amefafanua…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendelo ya Makazi, William Lukuvi amesema kuwa Serikali itaanza kutoa hatimiliki za viwanja kati ya siku moja na siku saba kwa kutumia mfumo wa kielektroniki…
Ulinzi umeimarishwa katika jiji kuu la Kenya, Nairobi pamoja na miji mingine mikuu Rais Uhuru Kenyatta akitarajiwa kuapishwa kuongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine hapo kesho. Muungano wa upinzani umetangaza…
Serikali ya Zimbabwe imetangaza siku kuu mpya ya kukumbuka mchango wa Robert Mugabe ambaye aliondolewa madarakani wiki iliyopita. Uamuzi wa kusherehekea Siku ya Taifa ya Vijana ya Robert Gabriel Mugabe…
Naibu Katibu wa CUF Tanzania Bara, Magdalena Sakaya amesema kuwa hawezi kuhama Chama hicho na iwapo na ikitokea Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikiamua kukifuta atastaafu siasa. Sakaya…
Mwanamfalme wa Uingereza, Prince Harry anatarajia kufunga ndoa na mpenzi wake Mwigizaji wa Marekani Meghan Markle ifikapo mwakani. Mwanamfalme huyo, wa tano kwenye msururu wa warithi wa ufalme wa Uingereza,…
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka kuwa chama chao wameshapata matokeo ya kata zote walizoshiriki uchaguzi mdogo wa madiwani ulifanyika jana Jumapili huku akisema hawajashinda hata kata…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza bandarini hapoa jana. Katika ziara hiyo Rais Magufuli amegundua magari 50 ambayo mmiliki wake hajajulikana…
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (Chadema) ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi kwa takribani saa 15 tangu jana. Meya huyo anadaiwa kutaka kupanga njama za vurugu…
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema kwamba hana mpango kabisa na wala hafikirii kurudi CCM. Lowassa ameyasema hayo kufuatia kauli iliyotolea na mkuu wa mkoa wa Arusha…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa sifa na pongezi kwa rais mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufanikisha ujenzi wa…