Waziri mkuu amkabidhi wakala wa mejengo Mara kwa Takukuru
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoa wa Mara kumkamata na kumuhoji meneja wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wa mkoa wa Mara,…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoa wa Mara kumkamata na kumuhoji meneja wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wa mkoa wa Mara,…
Mwenyekiti wa umoja wa vijana UVCCM TAIFA, Kheri James amekisifia chama chake cha CCM na kusema watashinda chaguzi katika majimbo ya Kinondoni na Siha kwani wanaamini watu waliowateua wanauwezo mkubwa…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimebadili msimamo wake wa kususia uchaguzi mdogo na kuamua kuwatangaza wagombea katika majimbo ya Kinondoni na Siha. Awali, Chadema na vyama vinavyounda Ukawa vilisusia…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema anatafakari uwezekano wa kuanza tena kuwanyonga wahalifu nchini humo. Museveni amesema hali kwamba yeye ni "Mkristo" imemzuia kutekeleza hukumu ya kifo dhidi ya wale…
Benki ya Dunia imetoa ufadhili wa shilingi Bilioni 47 kutekeleza mradi wa uhifadhi wa rasilimali za maji awamu ya pili katika bonde la mto Wami. Akizindua mradi huo jana, Mjini…
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemchukua Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ kwa ajili ya kumuhoji kuhusiana na tuhuma zinazomkabili za utakatishaji fedha…
Umoja wa Afrika umemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump kufika katika kikao cha umoja huo kitakachofanyika nchini Ethiopia mwezi huu kutokana na matamshi ya kibaguzi anayodaiwa kuyatoa hivi karibuni kuhusu…
Afya ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ambaye anaendelea na matibabu nchini Ubelgiji, inazidi kuimarika na sasa anaweza kufanya mambo mengi mwenyewe ikiwamo kwenda kuoga na kutembea kwa…
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeutaka uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kurekebisha mkataba kati yake na kampuni ya Mlimani Holding Ltd kutokana na upungufu…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa agizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Januari Makamba kuunda Kamati…
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James jana amekutana na kufanya mazungumzo na kamati ya utekelezaji ya mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wajumbe…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara ambao umedumu kwa miaka mitatu.…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kushikamana ili kuweza kutunza mazingira. Ameyasema hayo hii leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitembelea fukwe…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa ya kukamata watu wanaovaa vimini na kunyoa mtindo wa kiduku. Hatua hiyo inakuja baada ya gazeti la kila siku…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na Sekondari. Marufuku hiyo ya Rais…
Waziri wa Maliasili na Utalii, DK Hamisi Kigwangalla amefunguka na kusema kuwa mabinti warembo na vijana wenye muonekano mzuri wanaweza kutumika katika kazi za ukarimu na kusaidia kuleta sifa nzuri…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata silaha mbalimbali zikiwemo bunduki kubwa, bastola na vifaa vya uhalifu. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa amesema…
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma leo limemzuia Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kufanya mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Mwanga Community Center, mkoani humo. Taarifa iliyotolewa na OCD inasema…
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo amefika katika mahakama kuu Kanda ya Mbeya akituhumiwa kutoa maneno ya uchochezi. Mwingine aliyefikishwa mahakani hapo ni Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini wasijihusishe na vitendo vya wizi, ufisadi kwani Serikali haitosubiri kuwaundia tume za kuwachunguza bali itawashughulikia…
Serikali imeridhia hatua zilizochukuliwa na uongozi wa kampuni ya IPP Media kumuomba radhi Rais John Magufuli na kulifungia gazeti la Nipashe Jumapili kwa muda wa miezi mitatu kutokana na kuchapisha…
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Vincent Mashinji amesema kuwa yeye yuko tofauti na makatibu wengine wa vyama. Ameyasema hayo Jijini Dar es salaam wakati akifanya mahojiano…
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amefunguka kwa mara ya kwanza sababu ya kukutana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu kufuatia vifo vya watu…
Korea Kaskazini na Kusini wameanza mazungumzo kuhusu mpango wa kutuma timu kwa mashinndano ya msimu wa baridi yanayofanyika mwezi ujao nchini Korea Kusini. Korea Kaskazini ilikubali wiki iliyopita kutuma ujumbe…
Ujenzi wa barabara ya njia sita kuanzia Kimara hadi Kiluvya, unatarajia kuanza mwezi ujao pindi mkandarasi atakapopatikana. Nyumba takribani 2,000 zilizokuwa zimejengwa ndani ya mita 121.5 ya Barabara ya Morogoro…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali na vituo vya Afya nchini kuhakikisha wagonjwa hawauziwi damu. Ummy amesema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni…
Chama cha Unity nchini Liberia kimemtimua Rais anayemaliza muda wake, Ellen Johnson Sirleaf, kwa tuhuma za kutomuunga mkono mgombea mwenza ili arithi kiti chake cha urais. Chama cha Unity kinamtuhumu…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Kahawa (CDTF). Pia waziri mkuu amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu…
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini leo Jumapili, Januari 14 kwa ziara ya siku moja. Rais Kagame aliyepokewa na mwenyeji wake Rais John Magufuli, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege…