Viongozi wa Chadema waitikia wito wa Polisi
Baadhi ya viongozi saba wa Chadema wanaelekea Kituo Kikuu cha Polisi kuitikia wito wa kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa. Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano na…
Baadhi ya viongozi saba wa Chadema wanaelekea Kituo Kikuu cha Polisi kuitikia wito wa kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa. Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano na…
Msemaji wa Familia ya Akwilina, Festo Stephen amesema mwili wa binti yao unatarajiwa kuagwa siku ya Alhamisi katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) endapo watapewa ruhusa hiyo na chuo,…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa mkoa wa Simiyu kuhakikisha kila shule ya sekondari inayojengwa inajengwa ikiwa na maabara. Makamu wa…
Waziri Mkuu wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Alphonce Sebukoto. Majaliwa amechukua hatua hiyo baada mwanasheria huyo kushindwa kutekeleza majukumu…
Ndugu wa marehemu wa mwanafunzi aliyepigwa risasi na Polisi, Akwilina Akwilini wamepinga ripoti ya postmortem baada ya kuelezwa kuwa majibu ya ripoti ya kifo cha mwanafunzi huyo yatatolewa baada ya…
Ujenzi wa daraja la mto Kilombero umekamilika kwa asilimia 100% na liko tayari kuzinduliwa baada ya kukamilika kwake. Daraja hilo linalounganisha wilaya mbili mkoani Morogoro (Ulanga na Kilombero) pamoja na…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Bwasa katika mji wa Nansio wilayani Ukerewe. Waziri Mkuu alizindua mradi huo jana…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Jijini Mwanza jana jioni. Makamu wa Rais anategemewa kuanza ziara ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo leo mkoani…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemuagiza Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na timu ya uchunguzi kutoka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina juu…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kugharamia mazishi ya mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji (NIT), Akwilina Akwelina. Mwanafunzi huyo alipigwa risasi na askari polisi siku ya Ijumaa Februari…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea vitendo vya uvuvi haramu wa kutumia sumu kali ndani ya ziwa Victoria kwa sababu vinaharibu soko la samaki. Aliyasema…
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Aron Kagurumjuli amewalaumu viongozi wa vyama kushindwa kutekeleza wajibu wao baada ya baadhi ya mawakala wao kuondolewa vituoni. Mkurugenzi Aron Kagurumjuli ambaye ndiye Msimamizi wa…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro na timu yake kufanya uchunguzi wa kina juu ya mauaji ya Daniel John ambaye…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema serikali ya awamu ya tano itapambana na watu wanaotaka kuvuruga thamani ya zao la pamba. Majaliwa amewataka wakulima wa…
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa amewatadhahalisha watu kujiepusha na vitendo vya kihalifu ili waweze kuruhusu uchaguzi wa…
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amezindua ndege inayojiendesha yenyewe bila ya rubani ambayo ni ya kwanza kutengenezwa nchini humo. Kifaa hicho kilichotengenezwa na Taasisi ya Teknolojia ya jeshi la anga…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha Mabalozi wawili aliowateua kuiwakilisha Tanzania katika nchi za Nigeria na Sweden. Mabalozi walioapishwa leo ni Muhidin Ally…
Mwenyekiti Kamati ya muda ya uongozi wa CUF, Julius Mtatiro amesema hata kama angelikuwa ni miongoni mwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asingeweza kukubali kukitumikia cheo cha Humphrey Polepole…
Mwenyekiti CHADEMA Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama wamekwenda ofisi ya NEC kushinikiza wapewe viapo na vitambulisho vya mawakala wao, huku wakidai mawakala wa CCM wameshapewa. Msafara huo wa…
Balozi China nchini Tanzania, Wang Ke leo amezindua ujenzi wa ofisi ya walimu katika shule ya sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam. Pia Balozi huyo ameahidi kujenga ofisi nyingine…
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amelitaka jeshi la polisi kuhakikisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakilindi kura kwani hilo si jukumu lao.…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn amejiuzulu wadhifa huo baada kuandika barua kwa chama chake cha Ethiopia People’s Demecratic Front akiomba kuachia ngazi. Desalegn amesema kuwa amejiuzulu ili kusaidia kusuluhisha…
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF), Jenerali Venance Mabeyo amefunguka na kuweka wazi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameweka historia katika jeshi hilo toka kuanzishwa kwake kwa…
Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC, Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa Afrika Kusini baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu. Bwana Zuma alikuwa chini ya shinikizo…
Wakili binafsi wa muda mrefu wa Rais wa Marekani Donald Trump amekiri kumlipa nyota wa filamu za ngono dola 130,000, mwaka 2016. Hatua hiyo inajiri wakati vyombo vya habari vikisema…
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika kusini. Kwa mujibu wa kiongozi Mwandamizi wa chama cha MDC, Tsvangirai mwenye umri wa 65, na aliyewahi kushika…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu urais wa nchi hiyo baada ya chama chake cha ANC kuanzisha vuguvugu la kumng’oa madarakani. Zuma amesema asingependa damu imwagike na chama(ANC)…
Rais mstaafu Benjamin Mkapa amewataka wadau mbalimbali na wananchi kuendelea kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa huo nchini ambapo zaidi ya sh.milioni…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Meja Jenerali Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).…
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu huenda akashtakiwa na Polisi nchini humo kwa mashtaka ya rushwa. Polisi wamesema kuwa wana ushahidi wa kutosha kumtia hatiani kiongozi huyo kwa rushwa, ufisadi…