Kigwangalla ataka ulinzi uimarishwe chanzo cha maji ya mto Zigi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa wakala TFS kujenga kituo cha ulinzi wa kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto Zigi kilichopo ndani…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa wakala TFS kujenga kituo cha ulinzi wa kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto Zigi kilichopo ndani…
Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo amefunguka na kuwataka watu wasirudishwe nyuma kwa vitisho na usumbufu wa sheria kandamizi zinazopelekea baadhi ya viongozi kukamatwa na kuwekwa ndani.…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelipongeza Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa jitihada na hatua zinazochukuliwa na shirikisho hilo katika mapambano dhidi ya rushwa. Waziri…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kusimamia vizuri rasilimali walizonazo. Rais Magufuli ametoa wito huo…
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe jana usiku amekamatwa na jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa kosa la kuwatembelea madiwani wa chama cha ACT Wazalendo katika kata zao. Zitto Kabwe…
Kamati za ulinzi na usalama za wilaya zote mkoani Kagera zimeagizwa kuwasaka na kuwakamata watu wanaouza kahawa nje ya nchi kwa magendo. Waziri wa Kilimo, Dk Charles Tizeba pia ameviagiza…
Watu 28 wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakituhumiwa kufanya mkusanyiko usio halali na kinyume na sheria. Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo mbele ya hakimu…
Vilio vimetawala wakati wa kuuga mwili wa mwanafunzi wa Chuo, Akwilina Akwiline aliyepigwa risasi na Polisi wiki iliyopita. Mwili wa marehemu ulichukuliwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa imemaliza maelekezo waliyopewa na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP katika jalada la kesi ya utakatishaji fedha…
Jeshi la Polisi nchini limetakiwa kuzingatia maadili ya kazi na kuacha kuwabambikia watu kesi ikiwa ni pamoja na kujiingiza katika vitendo vya rushwa. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la…
Aliyekuwa mfanyakazi wa CRDB, Gura amehukumiwa kwenda jela miaka 93 baada ya kumkuta na hatia ya makosa 29 ya kughushi na mawili ya wizi wa Sh. milioni 29.8 za benki…
Vitiuo 15 vya biashara ya kuuza na kusambaza mafuta ya petrol Zanzibar vimetozwa faini kufuatia kufanya vitendo vya udanganyifu ikiwamo kuficha mafuta na kusababisha uhaba wa nishati hiyo. Waziri wa…
Beki wa mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara, Nadir Haroub 'Canavaro' amepatwa pigo baada ya kufiwa na mwanawe wa miezi miwili. Msiba umetokea wakati beki huyo akiitumikia klabu yake iliyoko…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali imedhamiria kuboresha huduma za afya nchini. Makamu wa Rais leo amefungua Jengo la Ofisi ya…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kwamba kuwapatia walimu silaha kunaweza kuzuia mashambulio ya risasi katika shule kama lile lililowaua watu 17 wiki iliopita mjini Florida. Rais huyo wa Republican…
Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kusema amefarijika sana kutembelewa na Mbunge wa Tandahimba (CUF) Katani Ahmad Katani na kudai mbunge huyo alikuwa miongoni…
Familia ya marehemu Akwilina Akwiline inaendelea na maandalizi ya mazishi, huku ikielezwa kuwa Serikali imekubali kuyagharimia lakini si kutoa fedha. Serikali imefikia hatua hiyo baada ya jana Februari 20,2018 familia…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 19. Rais Magufuli amewasili nchini humo kwa ajili ya kuhudhuria…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wakiwemo wakazi wa mkoa wa Mwanza kuachana na biashara ya dawa za kulevya. Pia Waziri Mkuu amegiza vijana…
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamua kwamba mashtaka ya uhalifu au madai hayawezi kufunguliwa dhidi ya Rais juu ya utendaji wake wa kazi katika kipindi ambacho alikuwa madarakani. Kutokana na msingi…
Maafisa wa forodha nchini Kenya wamemkamata mwanamume anayedaiwa kuwa raia wa Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi akisafirisha dhahabu ya thamani ya dola milioni moja.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo emeelekea nchini Uganda kwa ziara ya siku mbili. Rais Magufuli ameondoka leo Jijini Dar es salaam na kuelekea…
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prefesa Makame Mbarawa ametoa onyo kwa wakazi wa Mkoa wa Tabora wanaoendeleza ujenzi na kilimo kwenye hifadhi ya barabara. Profesa Mbarawa amewataka wananchi hao…
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) wamefika leo katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar (Sentro) kwa ajili ya kuhojiwa kutokana na tuhuma zinazowakabili. Viongozi hao waliowasili ni Naibu…
Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar linamshikilia Mtumishi wa TRA, Hassan Abuutwalib maarufu kama Kiringo kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume mwenye miaka 13 Kiringo alimpeleka mtoto huyo katika nyumba…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini kuwa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) linaloongozwa na Askofu Zacharia Kakobe linatunza kiasi kikubwa cha fedha kwenye ndoo kinyume na taratibu…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amefanya ziara Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), kubaini baadhi ya walimu kuishi nchini bila vibali. Katika ziara hiyo iliyofanyika…
Baadhi ya viongozi saba wa Chadema wanaelekea Kituo Kikuu cha Polisi kuitikia wito wa kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa. Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano na…
Msemaji wa Familia ya Akwilina, Festo Stephen amesema mwili wa binti yao unatarajiwa kuagwa siku ya Alhamisi katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) endapo watapewa ruhusa hiyo na chuo,…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa mkoa wa Simiyu kuhakikisha kila shule ya sekondari inayojengwa inajengwa ikiwa na maabara. Makamu wa…