Botswana wamtaka Kabila kuachia madaraka
Serikali ya Botswana imesema kuwa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ndiyo chanzo cha ukiukwaji wa haki za binadamu na kuzorota kwa hali ya usalama. Taarifa iliyotolewa…
Serikali ya Botswana imesema kuwa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ndiyo chanzo cha ukiukwaji wa haki za binadamu na kuzorota kwa hali ya usalama. Taarifa iliyotolewa…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wachama hicho wameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa Kituo Kikuu cha Polisi. Viongozi hao walikwenda kituoni hapo baada ya Mbowe kumaliza mkutano…
Taasisi ya Mo Dewji imetangaza orodha ya wanafunzi 22 wa elimu ya juu waliopata ufadhili kutoka katika taasisi hiyo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kupitia mpango wa Mo Scholars. Wanafunzi…
Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali inatarajia kutoa chanjo kwa wasichana 614,734 wenye umri wa miaka 14 nchini ili kuwakinga na saratani ya shingo…
Wazri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike ili wasiharibiwe masomo yao. Alitoa agizo hilo jana wakati akizungumza kwa nyakati tofauti…
Mfalme wa Saudi Arabia, King Salman amefanya mabadiliko katika jeshi la nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kuwafuta kazi Makamanda wa Vyeo vya juu jeshini akiwemo Mkuu wa majeshi. Taarifa…
Mkuu wa wilaya ya Pangani, Zainab Abdallah amefunguka na kudai anawaheshimu wanawake wenzake wanaojishughulisha kutafuta pesa kwa namna moja ama nyingine huku akiwataka wasiwape upenyo baadhi ya watu ambao wanataka…
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, amewaonya baadhi ya watu wanaohamasishana kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu kufanya maandamano. Kamanda Sirro amesema kuwa kufanya hivyo bila kufuata utaratibu…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kudhibiti matukio ya watu kuuawa kikatili nchini. Akizungumza jana wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Diwani wa Namwawala wilayani Kilombero, Godfrey Luena aliyeuawa…
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametangaza baraza lake jipya la mawaziri baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa nch hiyo. Waziri wa zamani wa fedha Nhlanhla Nene amerejeshwa tena katika…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara Bw. Stephen Mafipa kumtafuta popote alipo na kumkamata aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya…
Mahakama Kuu imesimamisha uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i wa kumtangaza mwanasheria machachari Miguna Miguna kuwa ni mhamiaji aliyepigwa marufuku. Jaji Enoch Chacha Mwita Jumatatu kadhalika alisimamisha…
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amewaomba wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kusaidia kupatikana kwa amani ya kudumu nchini kwake. Kiongozi huyo wa Sudan Kusini…
Waendesha mashtaka wanaochambua tuhuma zinazomkabili rais wa zamani wa Jacob Zuma kuona uwezekano wa kuepuka kufikishwa mahakamani wamependekeza kuwa mashtaka yote dhidi yake yarudiwe. Gazeti la City Press limefahamishwa pasi…
Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma amewataka majaji na mahakimu kumpunguzia maumivu mwananchi anayefuata haki mahakamani kwa kutimiza malengo waliyojiwekea, kuwapa ushauri pamoja na kusikiliza na kumaliza mashauri haraka. Akizungumza na…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu miezi mitano jela Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’. Sugu amehukumiwa pamoja na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga. Sugu…
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amezindua kiwanda cha Inhemeter ambacho kitakuwa kinazalisha mita za luku na kuziuza kwa mashirika ya ugavi wa umeme nchini. Kiwanda hicho ambacho…
Kesi inayomkabili mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ inatarajiwa kusikizwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi jijini Mbeya. Mbunge huyo ameiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa ajili…
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema chama hicho hakina nguvu visiwani Zanzibar kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma kwa sababu ya uamuzi mbaya kiliouchukua wa kususia uchaguzi…
Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Muliro Jumanne limethibitisha kuwashikilia watuhumiwa watatu wenye majeraha ya risasi katika Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.…
Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba leo ameanza ziara visiwani Zanzibar na atakutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa chama…
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekitaka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kutoa uthibitisho wa madai yake dhidi ya NEC na ikishindwa iombe radhi. Katika taarifa iliyotolewa…
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani, Hamad Masauni ametangaza kwamba kuanzia tarehe 1 Machi mwaka huu kutakuwa na ukaguzi wa magari binafsi nchi nzima na kwamba kila gari litalipia stika…
Kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Tido Mhando ambapo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi ya kusababisha hasara ya Shilingi Milioni 887…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa wakala TFS kujenga kituo cha ulinzi wa kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto Zigi kilichopo ndani…
Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo amefunguka na kuwataka watu wasirudishwe nyuma kwa vitisho na usumbufu wa sheria kandamizi zinazopelekea baadhi ya viongozi kukamatwa na kuwekwa ndani.…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelipongeza Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa jitihada na hatua zinazochukuliwa na shirikisho hilo katika mapambano dhidi ya rushwa. Waziri…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kusimamia vizuri rasilimali walizonazo. Rais Magufuli ametoa wito huo…
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe jana usiku amekamatwa na jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa kosa la kuwatembelea madiwani wa chama cha ACT Wazalendo katika kata zao. Zitto Kabwe…
Kamati za ulinzi na usalama za wilaya zote mkoani Kagera zimeagizwa kuwasaka na kuwakamata watu wanaouza kahawa nje ya nchi kwa magendo. Waziri wa Kilimo, Dk Charles Tizeba pia ameviagiza…