Bashe aliandikia Bunge barua kuhusu kuundwa tume ya kuchunguza matukio yanayohatarisha usalama wa taifa
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ameliandikia barua Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania akitaka kuundwe Tume teule ya Bunge kuchunguza matukio yanayohatarisha Usalama wa Taifa. Bashe ameyataja baadhi ya matukio ambayo angependa kamati hiyo…