Uganda yaanza kusikiliza kesi ya ukomo wa umri wa Rais
Mahakama ya Katiba nchini Uganda imeanza kusikiliza shauri lililowasilishwa mahakamani hapo kupinga jaribio la kubadili katiba na kuondoa ukomo wa umri wa urais. Mwaka jana, Bunge lilipiga kura ambapo wengi…