Majuto alazwa tena Hospitali
Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam baada ya kuzidiwa. Mke wa mwigizaji huyo, Aisha Yusufu, amesema kuwa mume…
Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam baada ya kuzidiwa. Mke wa mwigizaji huyo, Aisha Yusufu, amesema kuwa mume…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kwa kumwelezea ni kiongozi mkimya na asiyependa kuzungumza ovyo ovyo. Rais Magufuli amesema…
Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA ) imetoa muda wa wiki mbili kwa wamiliki wa mitandao ya kijamii ya ‘blogs’, tovuti na aina nyingine ya vyombo vya habari vinavyochapisha…
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Dkt. Martin Ngoga ameishukuru na kuipongeza Serikari ya Tanzania kwa ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo wa reli kwa sababu inaleta manufaa…
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameukataa mualiko wa Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa wa kushiriki sherehe za maadhimisho ya siku ya uhuru jijini Harare, Jumatano iliyopita. Kwa…
Daraja la Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam limeingiza Tsh. Bilioni 14.9 kwa kipindi cha July 2017 hadi March 2018. Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa hivi karibuni kwenye mkutano mkuu wa…
Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, ameshangaza umma baada ya kuwepo na taarifa za kutarajia kuoa mke wa 5, binti mdogo mwenye umri wa miaka 24. Taarifa hizo zimethibitishwa…
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB). Rais Magufuli amemteua Dkt. Edmund…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi (HPV) ikihusisha wasichana wenye umri wa Miaka 14.…
Muigizaji wa Bongo Movie, Steve Nyerere ametoa taarifa rasmi ya chama hicho yenye mapendekezo kwa familia kuhusu taratibu za msiba wa msanii mwenzao, Agnes Gerard Masogange ambaye alifariki dunia jana…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema wanaume wote waliokaidi wito wa kufika ofsini kwake baada ya kupigiwa simu na kutumiwa barua za wito watakamatwa na…
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, amefunga rasmi jalada la kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini na kuonya watu wanaovunja…
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent Mashinji amesema sharti la kuripoti kituo Kikuu cha Polisi Central ni gumu kulingana na kazi wanazozifanya. Dr. Mashinji ameyasema hayo leo April 20, 2018 …
Mfalme Mswati wa Swaziland ambaye hapo jana ameadhimisha miaka 50 ya kuzaliwa kwake, ameipa jina jipya nchi ya Swaziland na kuita 'eSwatini'. Mfalme Mswati ametoa taarifa hiyo kwenye sherehe za…
Serikali imeunda timu ya kufanya mapitio katika viwanda vya serikali vilivyobinafsishwa ambavyo havifanyi kazi, ili virejeshwe serikalini. Hayo yamesemwa jana Bungeni Mjini Dodoma na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kipindi…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wale wote wanaosema kampeni yake ya kuwasaidia akina mama waliotelekezwa na watoto imevunja sheria, pengine wana watoto nje na wanaogopa…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Wabunge na viongozi wengine kuacha tabia ya kuingiza siasa kwa watu wanaoishi mabondeni. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa iwapo mazungumzo yake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un hayazai matunda atainuka na kuondoka katika mazungumzo hayo. Katika mkutano wa pamoja…
Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM), Humphrey PolePole amefunguka na kuwavaa viongozi ambao wanazungumza juu ya ripoti ya CAG na kusema baadhi ya viongozi hao wanapotosha Umma kwa kusema mambo…
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha amestaafu baada ya kumaliza muda wake wa majukumu ya tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia Aprili 30, 2013 hadi Aprili 29,…
Mke wa rais wa 41 wa Marekani, George H W Bush, mama Barbara Bush amefariki dunia jana nchini Marekani. Mama Bush ambaye pia ni mama wa rais wa zamani wa…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ifikapo Mei 15 inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kufanya maandamano na mkusanyiko usio halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe kama iende…
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewafuta kazi Mahakimu 250 ambao hawana elimu ya sheria pamoja na wale ambao walikuwa wameshtumiwa kuwa mafisadi. Waziri wa Sheria Alexis Thambwe Mwamba…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amkutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza, Penny Mordaunt . Makamu wa Rais…
Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema amani ni uhai wa nchi na wananchi pasipo na amani ni vigumu hata kufikiri mambo yatakavyokuwa. Mzee Mwinyi ameyasema hayo wakati…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa tahadhari kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kuchukua tahadhari kwa mvua zinazoendelea kunyesha. Makonda amewataka wananchi kukaa maeneo…
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amesema amemshamwishi Rais wa Marekani Donald Trump, asiviondoe vikosi vya askari wa Marekani vilivyoko nchini Syria. Mapema mwezi huu, Rais Trump alisema kwamba ataviondoa vikosi…
Kampuni inayotoa huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, (UDART) imesitisha huduma zake kwa baadhi ya njia kuanzia saa 11:00 alfajiri. Barabara ya Morogoro eneo la…
Watu saba wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam. Kamanda wa polisi kanda maalum jiini Dar es salaam Lazaro Mambosasa amethibitisha vifo hivyo, na kueleza kwamba…