Hanspope ajumuisha kesi ya kina Aveva
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba Mwenyekiti wa Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani ili kuunganishwa katika kesi inayomkabili…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba Mwenyekiti wa Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani ili kuunganishwa katika kesi inayomkabili…
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amemponda kiongozi mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kwa kuendesha vikao vikuu vya chama chake kupitia mitandao ya Kijamii. Polepole…
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari atakuwa kiongozi wa kwanza wa bara la Afrika kulakiwa na Rais wa Marekani Donald Trump White House atakapokutana na kiongozi huo kwa mashauriano rasmi mjini…
Mbunge wa Singida Mashariki kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema kuwa anatarajia kurudi nyumbani Tanzania siku yeyote. Lissu amekuwa hospitalini akitibiwa tangu septemba…
Korea Kusini imesema kuwa Korea Kaskazini imeahidi kufunga eneo lake la kufanyia majaribio ya nyuklia mwezi ujao na itaalika wataalamu wa kimataifa na waandishi wa habari kushuhudia kufungwa kwa eneo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefungua barabara ya lami ya Iringa – Migoli – Fufu yenye urefu wa kilometa 189 na ambayo inaunganisha Mkoa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kufanya ziara ya kikazi mkoani Iringa kuanzia leo tar 29 mwezi huu hadi tar 4 mwezi ujao. Hayo…
Kamati ya Bunge, Viwanda, Biashara na Mazingira imesema meli mbili za mafuta ghafi zimekwama katika bandari ya Dar es Salaam kwa zaidi ya wiki mbili sasa kutokana na utata wa…
Zaidi ya familia 208 za watoto waliotelekezwa na baba zao, zimepatanishwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Paul Makonda. Hayo yamebainishwa jana a Makonda wakati akitoa majumuisho ya zoezi…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa vyama vya siasa wajitahidi kuwa makini na namna wanavyoendesha vyama vyao kwasababu wananchi wanaowaongoza ni wa vyama…
Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas Kandoro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar alikolazwa kwa matibabu. Kabla ya kifo chake aliwahi kuwa…
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Henry Mwaibambe amethibitisha kuuawa kwa Bwana Chacha Heche Suguta ambaye ni mdogo wa Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche, kwa kuchomwa kisu…
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amekamatwa na polisi na kufunguliwa kesi mpya ya uchochezi. Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amethibitisha hilo na…
Shiriki la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limetaja aina ya wanachama litakaohudumia baada ya Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kusainiwa na Rais John Magufuli hivi karibuni. Meneja…
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amekutana na rais wa Korea Kusini Moon Jae-in kwenye eneo la mstari wa kijeshi uliowekwa kuyagawa mataifa hayo mawili tangu vita vya Korea…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 3,319 katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Taarifa iliyotolewa na…
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), ameibana Serikali akiitaka itoe majibu kuhusiana na ahadi ya Rais John Magufuli mwaka 2015 ya kufufua Skimu ya Umwagiliaji katika kijiji cha Idudumo…
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema kuwa jeshi hilo limefanya doria na misako ya wahalifu maeneo ya manispaa ya Dodoma na mji mdogo wa Kibaigwa wilayani…
Mbunge wa Ulanga (CCM), Goodluck Mlinga amesema ndege aina ya Airbus 380, EK701 ya Shirika la Ndege ya Emirates si ya kwanza yenye ukubwa huo kutua nchini kama inavyodaiwa na…
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amefunguka na kuweka wazi kuwa endapo viongozi wa Chama Cha Wanasheria Nchini (TLS) watajiingiza kwenye masuala ya siasa na haraka hivyo wao hawataweza…
Baada ya mwili wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kuzikwa jijini Mbeya, msanii wa Bongo Fleva, Young Dee amesema marehemu alikuwa mtu wa watu. Young Dee alisema kipindi cha uhai…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amelihutubia Bunge la Afrika Mashariki mkoani Dodoma na kuwapongeza wabunge hao kwa kuchaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki. Rais…
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linawashikilia watu saba wakidaiwa kuhamasisha maandamano yanayodaiwa kufanyika April 26 mwaka huu. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha , Kamishina msaidizi mwandamizi, Yusuph Ilembo…
Serikali kupitia Waziri wake wa Nishati Dk. Medard Kalemani amesema kuanzia leo gesi asilia toka mikoa ya kusini itaanza kusambazwa majumbani katika baadhi ya maeneo jijini Dar es salaam. …
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy amevitaka vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali za serikali kuacha tabia ya kuuza dawa za kutibu malaria nchini. Waziri…
Rais wa zamani wa Malawi, Dkt. Joyce Banda anatarajia kuingia nchini humo wiki hii baada ya kuishi miaka minne uhamishoni. Dkt. Banda aliondoka nchini humo baada ya jeshi la polisi…
Licha ya kisiwa cha Zanzibar kuwa na ardhi ndogo, huku pia ikiwa na mtaji na mapato midogo, imekuwa ikitumia mbinu mbalimbali kuhakikisha uchumi wake unaimarika. Kwa mujibu wa Waziri wa…
Mjukuu wa Malikia wa Uingereza, Prince William na mkewe Kate Middleton wamefanikiwa kupata mtoto wa tatu wa kiume. Wazazi hao wamemuweka hadharani mtoto wao wa kiume wa tatu ambaye ni…
Watu tisa wameuawa mjini Toronto, nchini Canada baada kugongwa na gari la mizigo ambalo lilielekea katika mtaa wenye watu wengi. Mashuhuda wanasema kuwa dereva huyo aliendelea kuliendesha gari takribani umbali…
Rais wa Chama Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Fatuma Karume amesema kuwa kutokana na kuwepo kwa idadi ndogo ya mawakili nchini, kwa wastani wakili mmoja hivi sasa anapaswa kuhudumia zaidi…