Rais Magufuli apiga marufuku siasa vyuoni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewataka wanafunzi wa elimu ya juu nchini kutogeuza vyuo kuwa maeneo ya kufanya siasa na badala yake wasome na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewataka wanafunzi wa elimu ya juu nchini kutogeuza vyuo kuwa maeneo ya kufanya siasa na badala yake wasome na…
Kenya inategemea kurusha satelaiti yake ya kwanza Ijumaa wiki hii kutokea nchini Japan baada ya kukamilika. Satelaiti hiyo inayofahamika kama First Kenyan University Nano Satellite—Precursor Flight (1KUNS-PF), ni bidhaa ya Chuo Kikuu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema watu ambao wanasema elimu imeshuka nchini wanakosea kwani kuna sehemu ambazo elimu inaonekana ipo vizuri akitolea…
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahimu Juma leo amefungua mafunzo elekezi kwa majaji wapya 14 wa Mahakama Kuu nchini yakiwa na lengo la kuwataka wafanye kazi kwa umakini. Jaji Prof Juma amezindua mafunzo hayo…
Abiria wa mabasi ya mwendokasi wamefanya vurugu ikiwa ni pamoja na kuandamana kwenye njia ya mwendokasi katika kituo cha Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Vurugu hizo zilisababishwa na uhaba…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, ameagiza uandaliwe mkataba wa makubaliano ya awali (MoU) ya utekelezaji wa mradi wa kuendeleza utalii wa picha katika Pori la Akiba Selous.…
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Taifa (CHADEMA) Mhe, Freeman Mbowe amefunguka na kutoa neno kuhusu madiwani 46 ambao wamejiuzulu nafasi zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)…
Baada ya mwaka mmoja toka kutokea kwa ajali iliyoua wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent jinini Arusha, umejengwa mnara wa kuwakumbuka wanafunzi hao, walimu wao na dereva. Ajali hiyo ilitokea…
Rais Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa kwa muhula wa nne kama rais wa Urusi leo Jumatatu baada ya kushinda uchaguzi mnamo Machi. Amekuwa madarakani kwa miaka 18 kama rais na hata…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufli amewataka Wakulima na Wafugaji kuacha vitendo vya kupigana kwa kugombania ardhi. Rais Magufuli amesema kwamba kamwe vitendo vya kupigana…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwataka wananchi wa Tanzania watambue kwamba adui yao mkubwa ni maendeleo na wala sio vyama vya siasa…
Waziri wa mambo ya Nje ,Ushirikiano wa Afrika Mashariki kikanda Dkt. Augustine Mahiga ameagiza watendaji wa wizara hiyo kuacha kuandika vitu kwa makisio hali inayofanya utekelezaji wake kuwa mgumu hali…
Kampuni inayotoa huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (UDART) imeamua kusitisha usafirishaji wa abiria kwa baadhi ya njia kutokana na kufungwa kwa barabara ya Morogoro eneo la Jangwani kutokana…
Mwanasheria mpya katika kundi la mawakili wa Rais wa Marekani, Donald Trump, Rudy Giuliani amesema bosi wake huyo alimrudishia mwanasheria wake mwingine dola 130,000 alizomlipa mchezaji wa filamu za ngono…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu Katibu Mkuu wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo mbele ya wananchi wa kijiji cha kidodi kumtaka kumchukulia…
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani amelitaka Jeshi la Polisi chini ya IGP Simon Sirro kutumia mamlaka yake kisheria…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema maamuzi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa…
Mbunge wa Iringa Mjini kwa (CHADEMA) Peter Msigwa amefunguka kwa mara nyingine tena na kuiomba radhi jamii kwa mkanganyiko wanaoupata na kudai kuna baadhi ya marafiki na wanachama wake wanaugua…
Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu (Chadema) amefungua kesi akipinga matokeo ya uchaguzi mdogo uliofanyika Februari 17 katika jimbo la Kinondoni na Maulidi Mtulia kushinda. Mtulia aliibuka mshindi…
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatamani sana yeye aonekane anaiunga mkono serikali ya awamu ya…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameionya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuacha kutumia lugha zenye kuudhi wananchi pindi wanapokwenda kukusanya kodi kwa wafanyabiashara. Waziri Majaliwa…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameitaka Marekani kutojiondoa kutoka katika mkataba wa kimataifa uliopangwa kudhibiti uwezo wa nyuklia ya Iran. Bw. Guterres ameonya kwamba kuna hatari ya…
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewaomba msamaha wananchi wake wakati akilihutubia bunge la nchi hiyo. Kenyatta ameoomba msamaha huo mapema jana wakati akilihutubia bunge la nchi hiyo ikiwa ni kawaida…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameviagiza vyombo vya dola, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuchunguza…
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya Petroli na Dizeli kwa asilimia 2.7 (shilingi 61) na asilimia 3.8 (Shilingi 88) na ongezeko…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wakurugenzi wanaowanyima haki zao wafanyakazi kwa kuwahamisha bila kuwalipa posho ya uhamisho. Ameyasema hayo mkoani…
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amewaambia wafuasi wake wasitishe kampeni ya kususia bidhaa na biashara za kampuni zilizohusishwa kuwa na uhusiano na chama tawala nchini Jubilee cha rais…
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu uwezekano wa kurejea nchini kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Tundu Lissu kutokea Ubelgiji alipokuwa akipatiwa matibabu tangu mapema Januari…
Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuifunga serikali kuu mwaka huu endapo bunge la nchi hiyo halitaidhinisha bajeti ya kutosha kwa ajili ya usalama mipakani, ikijumuisha fedha za kujenga ukuta…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba Mwenyekiti wa Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani ili kuunganishwa katika kesi inayomkabili…