Sababu ya Lulu kuachiwa huru leo
Mkuu wa Magereza ya Mkoa wa Dar es salaam, ACP Augustino Mboje amesema muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael maarufu kama Lulu anaweza kurudi gerezani endapo ataonesha mwenendo usioridhisha wakati…
Mkuu wa Magereza ya Mkoa wa Dar es salaam, ACP Augustino Mboje amesema muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael maarufu kama Lulu anaweza kurudi gerezani endapo ataonesha mwenendo usioridhisha wakati…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu Taasisi za dini kufanya mikutano yao watakapoomba kibali. Aidha, amesema ni lazima kuheshimu uhuru wa kuabudu…
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt Wilbroad Slaa amesema kuwa mjadala wa kuonekana au kutoonekana kwa sh 1.5 trilioni lililoibuka baada ya kuwasilishwa kwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu…
Marekani itafungua ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa maandamano makubwa. Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amemteua mshindi wa taji la Miss Journalism Tanzania, 2018, Witness Teddy Kavumo (21) kuwa balozi wa utalii wa Pori la Akiba Selous.…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Simon Sirro, amewataka makamishna wastaafu wa jeshi hilo, kuendelea kukabiliana na uhalifu wawapo uraiani kwa kuwa mapambano ya uhalifu hayana mipaka.…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu amesema utaratibu wa upimaji wa kifua kikuu na Ukimwi bar kwa bar sio wa lazima, ila watatumia ushawishi kuhakikisha…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa mapato yanayotokana na utalii yameongezela kutoka Dola za Marekani Bil. 1.7 mwaka 2012 hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 2.2…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kuwa serikali imetoa Shilingi Billion 250 kwaajili ya utekelezaji wa Miradi Mkakati ya kuziwezesha Halmashauri za jiji hilo kujiendesha zenyewe…
Serikali imetangaza nafasi za kazi zaidi ya 6,180 katika sekta ya afya nchini na kuwataka wananchi wenye sifa stahiki kuomba nafasi hizo ili kuweza kutatua changamoto ya upungufu wa watumishi…
Serikali imesema hakuna mgonjwa yeyote aliyehisiwa au kuthibitishwa kuwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola hapa nchini na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari kubwa dhidi ya ugonjwa huo ambao umeripotiwa hivi…
Lugha ya Kiswahili kimeweka historia yakuwa lugha ya kwanza kutambuliwa na mtandao wa kijamii wa Twitter. Awali, Twitter ilikuwa ikiyatambua maneno ya Kiswahili kama maneno ya ki Indonesia katika swala…
Watu 32 wamepoteza maisha baada ya ukuta wa bwawa la maji kubomoka na kusababisha maji kuvamia makazi ya watu katika mji wa Solai nchini Kenya. Tukio hilo lililotokea Jumatano usiku,…
Mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoka jela leo. Sugu amesema hakuwa anajua kama anaachiwa mpaka pale alipofuatwa na polisi kuambiwa ajiandae, na…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Iran itakuwa katika wakati mgumu iwapo itaanza kutengeneza silaha za nyuklia kufuatia Marekani kujitoa katika mkataba wa kimataifa wa 2015 uliokuwa unania ya…
Mwenyekiti wa chadema, Freeman Mbowe amesema bado hawajafahamu ni taratibu gani zimetumika kuwaachia huru wakati kifungo chao kilikuwa bado. Mbowe amesema kuwa katika mazingira ya kawaida, siku yao ya…
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) amefunguka na kumkaribisha uraiani Mbunge wa Mbeya Mjini,Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ baada ya kutoka gerezani. Nape amefunguka hayo baada ya leo mapema mbunge wa Mbeya…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa wafanyabiashara na wenye viwanda vya mafuta ya kupikia na sukari nchini kuhakikisha bidhaa hizo zinaendelea kupatikana…
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Katibu wa Chadema Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wameachiwa huru leo kutoka Gerezani. Sugu amabe alitakiwa kufumngwa kwa muda wa miezi…
Mbunge wa Mtera kwa tiketi ya (CCM), Livingstone Lusinde amefunguka na kuiponda serikali kuwa inashindwa kusimamia mambo yake vizuri jambo ambalo linapelekea matumizi ya fedha kuwa makubwa huku miradi ikikwama.…
Mvua kubwa yatarajiwa kunyesha katika mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Pwani na Visiwa vya Unguja na Pemba. Utabiri huo umetolewa na Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa Nchini…
Watu 17 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ugonjwa wa Ebola. Visa 21 vya homa na kutokwa na damu, pamoja na vifo 17 vimeripotiwa katika…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo ametoa siku 45 kwa watendaji wa soko la kimataifa la feri kuhakikisha wanarekebisha miundombinu…
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameitaka Menejementi ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kupunguza idadi ya ukubwa wa menejimenti ili kubaki na watu…
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kujitoa katika mkataba wa kimataifa wa Nyuklia wa Iran. Ameuita mpango huo kuwa umeoza na ni kero kwa raia wote wa Marekani. Amesema mpango…
Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Kampasi ya Mloganzila imezindua rasmi kitengo cha huduma ya uchujaji damu (dialysis) kwa wagonjwa wa figo.…
Aliyewahi kuwa Kiongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunisti China na kuwahi kugombea nafasi kubwa za uongozi serikalini amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya rushwa.…
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imemtaka Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye kuandika barua ya maelezo ya matatizo ya jimbo lake…
Watu zaidi ya 1700 wameondolewa katika nyumba zao katika eneo Kilauea nchini Hawaii kutokana na tope la volkano. Wakazi wa eneo ambalo limekumbwa na volkano wameondolewa wakihofiwa kudhurika kutokana na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewataka wanafunzi wa elimu ya juu nchini kutogeuza vyuo kuwa maeneo ya kufanya siasa na badala yake wasome na…