THANKS NAHREEL
Hekima na uungwana kamwe havina utwana, Faraja ya Maulana daima huviandama, Sifa hizi ziwe zetu wenye kupendana sana, Tunaotaka umoja tuje kuzikana bwana…….. Hongera Nahreel, mwerevu na muungwana….. Hakuna mfuatiliaji…
Hekima na uungwana kamwe havina utwana, Faraja ya Maulana daima huviandama, Sifa hizi ziwe zetu wenye kupendana sana, Tunaotaka umoja tuje kuzikana bwana…….. Hongera Nahreel, mwerevu na muungwana….. Hakuna mfuatiliaji…
Mashabiki wa Diamond na wapenzi wa muziki wa Bongo Flava kwa ujumla sasa wanaweza kukaa mkao wa kula kwasababu collabo za staa huyo walizokuwa wakizingoja kwa hamu hatimaye zitaachiwa hivi…
Harmonize na Jacqueline Wolper tupisheni kidogo, sasa ni zamu ya Ruby na Aslay wa Yamoto Band. Imekuja kama surprise kwa wengi na kama wasemavyo waswahili ‘penzi ni kikohozi kulificha huliwezi’…
Producer wa AM Records, Manecky ameisaliti kambi ya mabachelor mastaa Bongo kwa kufunga ndoa Jumamosi ya June 11. Manecky amefunga ndoa na mchumba wake Lilian George. Tunawapongeza Manecky na Lillian…
Hakuna kitu ambacho kinapofanywa bila fikra yakinifu basi huleta faida pasipo kuleta hasara. Kwa wasanii wengi wa Tanzania hususani kwa zama hizi, maisha yamebadilika sana, hakuna tena jambo la siri kwenye maisha…
Rapper Nay wa Mitego amesema wasanii wachanga wanajisikia ufahari kutoka kimapenzi na mastaa wa kike wenye umri mkubwa. Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television Alhamisi hii, Nay…
Miss Tanzania Mwaka 1996 na aliyekuwa mkurugenzi kwenye Benki ya Stanbic, Shose Mori Sinare. Ojuku Abraham, Amani DAR ES SALAAM: Leo ni siku ya 70 tangu Miss Tanzania Mwaka 1996,…
Wiki iliyopita msanii Diamond Platnumzalikiri kufurahishwa na kitendo cha mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu kutoa sapoti kwa msanii Rich Mavoko. Kitendo cha miss Tanzania (2006) kutoa sapoti hiyo kwa msanii…
Wasanii wa Tanzania wamekuwa (kwa miaka mingi) wakifanya jitihada kubwa sana ya kuhakikisha kuwa kazi zao zinafika kwenye nchi za nje ili nao waweze kutambulika kimataifa. Juhudi hizo zinajumuisha mbali ya mambo…
Kuna msemo wa hekima ya hali ya juu kabisa unasema: Ukitaka kudhihirisha aibu ya mwenzako basi kwanza dhihirisha aibu zako. Kwa bahati mbaya sana, msanii na mkongwe wa Bongo Fleva, Madee…
Waswahili wana msemo wao ‘Mambo ya ngomani huishia ngomani’………Msemo huu kwa ujumla wake unafundisha juu ya hekima ya kumaliza tofauti au mambo yasiyoridhisha ambayo mtu anaweza kuyapitia kwenye maisha yake (bila kutarajia) kisha…
Did the HIP HOP miss JAY MOE? Sooner than later we will get to know. Mkali na legendary wa Hip Hop, Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe ANAREJEA TENA. Haijulikani iwapo nae ANAAMKA…
Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti. “Mimi nimeshaapprochiwa…
Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa Bongo Flava Linah Sanga, Nagar aka Nagarico amefunga ndoa wiki iliyopita. Nagar pia aliwahi kuhusishwa kuwa na uhusiano na Wema Sepetu. Alifunga ndoa na mpenzi…
Msanii wa muziki ambaye yupo chini la ya kampuni ya filamu ya Wema Sepetu ‘Endless Film’, Mirror, amesema kukaa ndani ya kampuni hiyo kwa muda mrefu kumemfanya atamani kuigiza. Akiongea…
Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake. “Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi…