Waziri mkuu aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa shule mkoani Lindi
Shirika la Hifadhi ya taifa ya jamii (NSSF) ikishirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi limechanga jumla ya shilingi milioni 50 kwa ajiri ya kuchangia harambee ya…
Shirika la Hifadhi ya taifa ya jamii (NSSF) ikishirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi limechanga jumla ya shilingi milioni 50 kwa ajiri ya kuchangia harambee ya…
Mtu mmoja anayesadikika ni mvulana wa miaka 17 mwenye asili ya Afghanistan amewashambulia abiria waliokuwa kwenye Treni Kusini mwa Ujerumani na kuwajeruhi watu wanne kabla ya kuuawa na Polisi. Polisi…
Maafisa wanne wa polisi katika kituo cha Syokimau nchini Kenya wamefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji ya watu watatu ambapo wakili na mteja wake pamoja na dereva wa taksi waliuawa.…
Winga wa Bayern Munich, Arjen Robben atakosa mechi za kwanza za ufunguzi wa ligi kuu nchini Ujerumani 'Bundersliga' msimu ujao kutokana na kukaa nje kwa wiki sita baada ya kupata…
Rais wa Marekani,Barrack Obama amewataka wamarekani wajizuie dhidi ya hisia kali baada ya mmarekani mweusi kuwapiga risasi na kuwaua polisi watatu wa kizungu katika shambulio la pili la kulipiza kisasi…
Kiongozi wa tume ya Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Maman Sidikou amesema nchi hiyo huenda isiandae uchaguzi wa rais uliotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka…
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Amissi Tambwe yupo fiti kuwavaa Medeama katika mchezo wa mzunguko wa tatu wa kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kupona majeruhi yaliyokuwa yanamsumbua. Tambwe ambaye…
Bournemouth wamekamilisha usajiri wa winga wa klabu ya Liverpool, Jordon Ibe kwa mkataba wa miaka minne ambao umevunja rekodi ya klabu hiyo baada ya kuigharimu paundi milioni 15. Winga huyo…
Mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa Paris Saint-Germain 'PSG' imemteua mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi, Patrick Kluivert kuwa mkurugenzi wa soka wa klabu hiyo. Kluivert…
Klabu ya Chelsea ya Uingereza imemtambulisha rasmi kocha wake mpya, Antonio Conte kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaondelea kwenye uwanja wa timu hiyo jijini London. Kupitia mkutano huop na…
Staa wa Bongo Movie na mshindi wa kimataifa wa tuzo ya filamu bora, Elizabeth Michael a.k.a Lulu ametangaza ujio wa kazi yake mpya, NI NOMA ambayo inatarajia kuzinduliwa rasmi siku…
Staa wa Bongo Fleva, Jux ameachia rasmi ngoma yake mpya WIVU. WIVU ni ngoma inayoifuatia One More Night ambayo inaendelea kukimbiza kwenye soko la muziki wa Bongo Fleva. Ngoma hiyo…
Mashindano ya kuonyesha vipaji vya kucheza maarufu kama DANCE 100% yamezinduliwa rasmi hii leo jijini Dar es Salaam. Waratibu wa shindano hilo, East Africa TV wamesema kuwa mwaka huu mashindano…
Mtu anayedhaniwa kuwa mpiganaji wa kundi la kigaidi la Al-Shabab ambaye alikuwa anashikiliwa kwenye kituo cha polisi cha Kapenguria kilichopo magharibi mwa Kenya, amepora bunduki na kuwaua askari kadhaa kisha…
Washkaji: Babu Tale Said Fella a.k.a Mkubwa Fella Meneja wa familia ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella amekubaliana na kauli iliyotolewa na rapa mtata, Roma Mkatoliki kwenye ngoma yake mpya ‘KAA…
Shirikisho la soka dunning (FIFA) limetoa orodha mpya ya ubora wa viewing vya soka ambapo timu ya taiga ya Wales imewapiku mahasimu we, Uingereza kwa chukka had nafasi ya 11…
Hatimaye sintofahamu ya nani kuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza baada ya kung'atuka kwa David Cameron imetatuliwa usiku huu kwa Malkia Elizabeth II wa Uingereza kumtaka Bi. Theresa May kuunda…
Waziri wa zamani wa Serikali ya Burundi na mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Hafsa Mossi ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Burundi. Mauaji ya mwanasiasa huyo na mtangazaji wa zamani…
Kocha mkuu wa timu ya Liverpool Jurgen Klopp amemfukuza kwenye kikosi cha timu hiyo mshambuliaji wake, Mario Balotelli na kumruhusu kutafuta timu nyingine ya kujiunga nayo baada ya kushindwa kufikia…
Bi. Theresa May ndiye mwanasiasa anayetarajiwa kuwa mrithi wa nafasi ya waziri mkuu wa Uingereza inayoachwa rasmi leo na David Cameron. Je, unayafahamu mambo makubwa mawili ambayo yanamsubiri Bi. May…
Kampuni ya Azam limeingia mkataba mpya na shirikisho la soka nchini (TFF) kwaajili ya kuendelea kurusha moja kwa moja mechi za ligi kuu ya soka ya Tanzania Bara kwa miaka mitano. Mkataba…
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uteuzi wa kuwania urais kwa chama cha Democratic, Bernie Sanders ametangaza rasmi kumuunga mkono mpinzani wake Hillary Clinton. Sanders ameutangaza uamuzi huo muda mfupi uliopita…
Dunia haiishi maajabu………. Utafiti unaondelea kufanywa nchini Uingereza na wataalamu wa ugonjwa wa kisukari (diabetes) umeanza kuonyesha dalili chanya kuwa mbwa anaweza kumsaidia mgonjwa wa Sukari kutambua hali ya hatari…
Hakuna anayepingwa ukweli kuwa dawa za kulevya ni janga kubwa sana kwa binadamu duniani. Uwezo mkubwa wa dawa hizo kudhoofisha mwili na akili ya mtumiaji hadi kumuondolea uwezo na ufanisi wa utendaji…
How many music icons in America and Europe have their own labels? Je, hawana fedha za kuwekeza kwenye kumiliki lebo za muziki? Je, ni jambo rahisi sana kumiliki lebo na kuiendesha…
Unadhani ni nyimbo gani ambayo imechukua muda mrefu zaidi kuandikwa kwenye Bongo Fleva? Bado IshiKistaa inafanya utafiti huo lakini maneno ya hivi karibuni ya staa wa zamani wa THT, Pipi kuwa ngoma…
Zaidi ya mara moja, msanii Zuwena Mohamed a.k.a Shilole a.k.a Shishi Baby amewahi kuweka hadahrani kuwa yeye hajui Kiingereza cha Waingereza, yeye anaweza kuzungumza Kiingereza cha ku-unga- unga ili mradi mawasiliano yapatikane na…
Muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Ijumaa hii amepelekwa Life and Hope & Rehabilitation Centre (Sober House) iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuanacha na matumizi ya…
UKO WAPI NIKUFUATE NIAMBIA NIPAJUE ANGALAU NIKUONE………… What happened to Ray C? What is going on with her life? Who/what is behind all this? Is it all about drugs? Moja kati…
Mbunge wa Mikumi ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Joseph Haule ‘Professor Jay’ Jumatatu hii alitembelea ofisi ya WCB na kujionea uwekezaji uliyofanywa na rais wa label…